Mwendelezo wa Taarifa inayomuhusu Askofu Gwajima…
Mvutano uliopo ni kuhusu kuwasilisha
nyaraka za vitu anavyomiliki, lakini amegoma kwenda kuhojiwa mpaka
wapate barua kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi ili kuwasilisha
nyaraka hizo.
Ishu ya leo asubuhi ilihusu Jeshi la
polisi kuzingira nyumba yake kwa nia ya kumtaka kujisalimisha lakini
mwenyewe alijifungia ndani na kukaidi agizo hilo, lakini habari
zilizotufikia zinaeleza mchungaji huyo tayari amefikishwa mahakama ya
Kisutu akiwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi.
Mpaka sasa haijafahamika bado baada ya
kukamatwa kwake nini kinaendelea na tutaendelea kuwajuza zaidi kuhusu
hatma ya kiongozi huyo wa kanisa.
Kuyajua hayo na mengine mengi usiache kuwa nami muda wote ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment