Karibu uyacheki makazi mapya ya Boss Roman Abramovich… Kumbe huu mjengo zamani ulikuwa Hotel !!
Chelsea iko nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi kuu ya England ikiwa na pointi zake 73 na imepania kuchukua ubingwa msimu huu.
Boss wa Klabu hiyo, Roman Abramovich
ametoa kiasi cha paundi milioni 17.1 na kununua hotel ya kifahari
iliyoko Israel ili aigeuze makazi yake mapya ndani ya nchi hiyo.
Raia huyo wa Urusi amenunua hotel hiyo ambayo ilikuwa inaitwa Varsano Hotel iliyopo katika mji wa Tel Aviv ambayo ina kila kitu ndani yake.
Hutopitwa na habari yoyote inayonifikia na niko tayari kukutumia muda wowote kupitia hapa hapa kumekuchablog
No comments:
Post a Comment