Wednesday, April 15, 2015

MILIPUKO YA MABOMU NA SARE ZA JESHI ZAKAMATWA MOROGORO

Milipuko imekamatwa Morogoro, kukifahamu kingine kiko hapa..

AFANDE MOROBaada ya taarifa kuenea mitandaoni kwamba kuna tishio la baadhi ya maeneo Tanzania kuvamiwa na kushambuliwa na magaidi.. tahadhari zimetolewa watu kuwa makini na matukio ambayo yana dalili za matukio ya aina hiyo, lakini taarifa ambayo imeripotiwa kutoka Morogoro muda inahusu ishu ya watu kukamatwa wakiwa na milipuko.
AFANDE MORO
Kamanda wa Polisi Morogoro, Leonard Paul akionesha milipuko hiyo iliyokamatwa.
Watu waliokamatwa na milipuko hiyo wako tisa ambapo Jeshi la Polisi lilifanikiwa kuwakamata wote wakiwa ndani ya msikiti uliopo Kidatu, Kilombero Morogoro.
.

No comments:

Post a Comment