Chanzo cha ajali mashabiki wa Simba, vifo na majeruhi vimetajwa
Leo imetawala pia katika vyombo vya Habari, Ajali hiyo imetokea mbele kidogo
ya Morogoro ambapo mvua inaendelea kunyesha, utelezi wa Barabarani
ukafanya gari hiyo kupata ajali.
Watu saba wamefariki na wengine 18 ni majeruhi ambao walipelekwa Hospitali kwa ajili ya matibabu.
No comments:
Post a Comment