Reginald Mengi amefunga ndoa na Jacqueline Ntuyabaliwe, picha 9 ziko hapa
Mtandao wa Bongo5.com
umepata nafasi ya kupokea pichaz Exclusive kutoka kwenye harusi hii
ambayo imefungwa kwenye ardhi ya nchi ya Mauritius kwenye mwisho wa
mwezi March 2015.
Hii ndoa pia ilishuhudiwa na watoto wao wawili mapacha kama wanavyoonekana kwenye picha pamoja na marafiki wengine wa familia pamoja na ndugu ambao idadi yao inafikia 50.
Ndoa imefungwa miezi minne baada ya Reginald Mengi kumchumbia Jacky Dubai kwenye siku ya kuzaliwa ya mrembo huyu December 2014.

No comments:
Post a Comment