Kwa uliedhani ujauzito wa Zari ulikua feki, hapa je?
Labda
uliziona picha za mwanzoni za mrembo Zari kutoka Uganda lakini ukaamini
maneno ya wengine kwamba shemeji yetu huyu kwa Diamond Platnumz
alidanganya kuhusu kuwa na ujauzito huo wa Diamond.
Picha mpya kutoka kwake right now ni hii hapa chini ikionyesha jinsi ujauzito wake unavyozidi kukua…
Kaa karibu na www.tangakumekucha.blogspot.com nitakachokipata nitakusogezea hapa hapa masaa 24
No comments:
Post a Comment