Uhaba wa maeneo ya makaburi Kenya.. Wameamua utaratibu mwingine wa mazishi
Ishu ni kwamba kutokana na maeneo ya
makaburi kutotosha watu wamejikuta wakilazimika kuchimba makaburi yenye
vina vifupi juu ya makaburi mengine ili waweze kufanya mazishi.
“Serikali
itupatie mahali ambapo tunaweza kuzika watu wetu kwa amani.. sio
ukizika ukienda kulima unapata umefufua mtu mwingine… mnarudi mnamuweka
pembeni hata yeye hilo kaburi lilinunuliwa ilipaswa na yeye aweze
kuzikwa”– alisema mmoja wa wakazi wa eneo hilo.
Ukosefu wa ardhi ya kuzikia ni taatizo kubwa linalokumba maeneo mengi nchini humo.
No comments:
Post a Comment