Saturday, November 21, 2015

AJALI, KAMA CINEMA VILE ILA NI TUKIO LIVE

  Gari aina ya Mark II, ikiwa imegonga uzio wa nyumba  na kuingia ndani kisha kuvunja ukuta wa chumbani ambamo kulikuwa na watoto wakiwa wamelala usiku wa manane  baada ya dereva wa gari hilo  kushindwa kukata kona eneo la Raskazone barabara ya Tanga Beach tukio lililotokea juzi usiku.





No comments:

Post a Comment