Saturday, November 21, 2015

MAONYESHO



Wakazi wa Tanga wakimuangalia Samaki aina ya Silikanti aliekuwa ametoweka miaka 65 iliyopita wakati wa maonyesho siku ya Uvuvi Duniani iliyofanyika kitaifa juzi Tanga.
Samaki huyo ambaye alitoweka bahari ya Tanga mwambao wa Bahari ya Hindi Pangani, Kigombe na Sahare Tanga inadaiwa amerejea hivyo kutajwa kuwa ni kivutio kikubwa cha Utalii na Wageni kutoka nchi mbalimbali kudaiwa kumiminika kumuangaluia.
Samaki huyo ambaye ni adimu Duniani amekuwa kivutio kikubwa kwa Utalii.




No comments:

Post a Comment