Monday, November 30, 2015

KASI YA DR MAGUFULI GUMZO HADI CHINA

Tafsiri ya gazeti la China lililomuandika Rais John Pombe Magufuli.

Kuanzia wiki iliyopita zilianza kusambaa picha za gazeti lenye maandishi ya Kichina ambalo lilikua na picha ya Rais mpya wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli, nikaamua kuchukua time kumtafuta Mchina ili atupe tafsiri wameandika nini kuhusu Dr. Magufuli,

No comments:

Post a Comment