Tuesday, November 17, 2015

NI MAFURIKO TU KILA MTAA

 Wakazi wa Mwembesamaki kata ya Makorora Tanga wakipita kwa tabu kuvuka daraja la Mabovu jana kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa juzi.





No comments:

Post a Comment