Thursday, November 12, 2015

UHARIBIFU, MVUIA



Wakazi wa Msambweni mtaa wa Arafa Tanga, wakiangalia uharibifu wa mvua zilizonyesha kwa siku mbili mfululizo na kusomba mlima wote na kuwa kero kwa watumiaji wa vyombo vya moto yakiwemo magari. Vipindi hivi vya mvua baadhi ya maeneo mengi kumekuwa na uharibifu uliotokana na mvua hivyo kuathiri nguvu kazi ya maendeleo na kuwa kero.
Hata hivyo Serikali imekuwa ikijitahidi kuhakikisha inakarabati na kusawazisha maeneo ambayo yametokea na hivyo wananchi kutakiwa kuacha uharibifu ukiwemo wa kuchimba mchanga kwa maeneo ambayo hayastahili.






No comments:

Post a Comment