Friday, November 13, 2015

BIASHARA UTAMADUNI WA KIMASAI



Raia wenye asili ya Asia wakichagua viatu vya utamaduni wa Kimasi soko la Uzunguzi Tanga, wajasiriamali wa kazi za mikono wamekuwa wakilalamika kukosa soko la uhakika la kuuzia bidhaa zao na badala yake wamekuwa wakiuza kwa mtindo wa Kimachinga.




 Juma Ramadhani akipanga bidhaa za mkono vikiwemo vikapu na ungo soko la Uzunguni Tanga, Wajasiriamali wa kazi za mikono Tanga wamekuwa wakilalamika kukosa soko la uhakika la kuuzia bidhaa zao na badala yake wamekuwa wakiuza kwa mtindo wa Kimachinga.


No comments:

Post a Comment