Monday, November 16, 2015

MVUA TANGA GUMZO KILA PEMBE



 Wakazi wa Mwembesamaki kata ya Makorora Tanga wakipita kwa tabu kuvuka daraja la Mabovu jana kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa jana kuanzia usiku hadi asabuhi.
Mvua hiyo ilikuwa gumzo jiji zima na kusababisha wanafunzi na wafanyakazi wa maofisini kushindwa kufika kwa wakati. Mitaa mingi ikiwemo, Makorora , Mikanjuni, Mabawa, Mwahako, Sahare, Magomeni, na Chumvini ilikuwa imefurika kwa maji.






No comments:

Post a Comment