Sunday, November 15, 2015

MIRUNGI TUMEIKAMATA

 Kamanda wa polisi Mkoani Tanga akiwaonyesha waandishi wa habari  magunia yenye mirungi kilo 497 iliyokamatwa katika kizuizi cha polisi Kwamdulu Wilayani Korogwe Mkoani Tanga iliyokuwa ikisafirishwa kuelekea Dar es Salaam juzi.



 Kamanada akiwa mstari wa mbele kuchukia upitishaji wa mihadarati Mkoani kwake na kusema kuwa tabia hiyo ataivalia njuga na kuikomesha na kuwa fundisho kwa wengine

No comments:

Post a Comment