Sunday, November 22, 2015

BUNGENI KUNASEMAJE

 Wakazi wa Tanga wakiangalia vichwa vya habari vya magazeti barabara ya 15 Ngamiani siku moja baada ya Rais John Pombe Magufuli kuhutubia Bunge ikiwa ni siku ya kwanza baada ya kumalizika uchaguzi mkuu na kuibuka mshindi. Pamoja na mabo mengine walikuwa wakifuatilia habari za Ukawa.




No comments:

Post a Comment