Monday, November 9, 2015

RAIS MAGUFULI ASHTUKIZA TENA , ATUA MUHIMBILI

Rais Magufuli kashtukiza tena na leo kwa ziara ya ghafla…

Headlines kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuanzia Ijumaa November 6 2015 siku ya kwanza ya Rais Dk. John Pombe Magufuli Ikulu, zilibebwa na stori ya ziara ya kwanza ya kushtukiza Wizara ya Fedha ambapo kuna baadhi ya watendaji alikuta hawapo Ofisini saa za kazi !!
Hii ilikuwa Rais JPM ndani ya Wizara ya Afya.
Hii ilikuwa Rais JPM ndani ya Wizara ya Afya.
Headlines nyingine inayoanza kukamata nafasi kubwa mchana wa November 9 2015 kwa mara nyingine mitandaoni inahusu ziara nyingine ya Rais JPM ambapo safari hii amekatisha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo eneo la Upanga Dar es Salaam…  nako ameenda kimya kimya kwenye ziara ya kushtukiza vilevile.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment