Wednesday, November 18, 2015

KIPINDUPINDU KITATOWEKA KWELI

  Takataka zikiwa zimerundikana na kusababisha maji kufanya ziwa baada ya kushindwa kutembea karibu na makazi ya watu eneo la Mzingani mtaa wa Dunia hoteli  Tanga na kupatwa hofu ya kupatwa magonjwa ya miripuko hasa kipindi hiki cha kitisho cha Kipindupindu.
Kipindi hiki cha mvua kunyesha kuna hofu ya kutokea magonjwa ya miripuko hivyo Serikali na wananchi kutakiwa kuchukua tahadhari ya kuweka mazingira katika usafi.






No comments:

Post a Comment