Wednesday, November 11, 2015

SOKA UWANJANI



 Mchezaji wa Jeshi Worrias ya Tanga, Ibrahimu Jumanne, akiwa chini wakati akigombea mpira na wachezaji wa Makorora Star wakati wa mchezo ligi ya Mkoa juzi uwanja wa Mkwakwani ambapo Jeshi Worrias iliahinda kwa mabao 3, 1.


 Kiungo wa timu ya Makorora Star Khamis Aba (4) akimtoka mshambuliaji wa Jeshi Worrias zote za Tanga wakati wa mchezo wa ligi ngazi ya Mkoa juzi uwanja wa Mkwakwani Tanga, Jeshi Stae ilishinda kwa magoli 3, 1.

 Wachezaji wa timu ya Jeshi Worrias  wakimzonga mwamuzi kulalamika kutoa penati kwa timu ya Makorora Star   wakati wa mchezo wa ligi ngazi ya Mkoa uliochezwa juzi uwanja wa Mkwakwani Tanga ambapo Jeshi Worrias walishinda kwa mabao 3 , 1.

No comments:

Post a Comment