Monday, October 9, 2017

HABARI NJEMA KWAKO



WATAZAMAJI NA WASHABIKI WA TANGAKUMEKUCHABLOG

KUFUATIA maoni mengi kuhusiana na Hadithi inayoendeleza kila siku kupitia hapa na kuombwa kuongeza utamu mwengine na kukidhi hitaji la muangaliaji wa blog hii kuanzia leo tutaanza kuwa na mfululizo wa Riwaya kila siku sambamba na hadithi.

Hivyo wewe muangaliaji usiache kutoa maoni yako kadri uonavyo ili lengo liweze kupatikana ikiwemo Burudani, Ladha na Utamu wa kusisimua kwa yale nikupatiayo kupitia blog yako hii.

Tuwe pamoja na nasubiri maoni yako hapahapa Tangakumekuchablog

                                       0655 902929

1 comment: