Friday, September 30, 2016

AIBA MASHUKA ALA KIBANO CHA MWAKA


Kijana anaedhaniwa kuwa kibaka alieshukiwa kuiba mashuka katika nyumba moja mtaa wa Chumbageni Tanga akipokea kibano kutoka kwa wakazi wa eneo hilo kisha kupelekwa kituo kikuu cha  Chumabageni


Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment