Thursday, September 29, 2016

NDEGE INAYOTAJWA KUWA NA RAHA ZAIDI DUNIANI

Ndege inayotajwa kwa ubora na yenye starehe kuliko zote duniani

Ndege inayotajwa kuwa na starehe za kutosha ikiwa imetengenezwa ubora kuliko Ndege yoyote ile duniani. Ndege hii inafahamika kama “World’s Most Luxurious Commercial Jet ikiwa na jina la kibiashara Crystal
crystal-luxury-air-global-express-xrs
Crystal Plane ina mgahawa wa kisasa zaidi kuliko hata migahawa ya mitaani, Bar ambayo ni Classic sana, pamoja na huduma ya Internet yenye kasi zaidi ya Wi-Fi… Ndege hii inamilikiwa na kampuni kutoka nchini Marekani. 
Gharama za kuikodi ndege hii ni dola za Marekani elfu hamsini kwa siku moja huku abiria akipewa huduma ya hadhi ya hoteli ya five star. Ndege hii inatarajiwa kuanza kutumika na wateja ifikapo mwaka 2017.
Nimekusogezea hapa picha za ndani ya ndege hiyo mtu wangu.
cy2
cy3
cy4
cy5
cy6
cy7
cy8
jet-1
Kwa habari , matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment