Tuesday, September 27, 2016

KILIO CHA MAJI MUHEZA MKOANI TANGA CHAZIDI KUWATESA WANANCHI



Wakazi wa Ngomeni Wilayani Muheza Mkoani Tanga wakiwa katika foleni ya maji, Dumu moja walikuwa wakinunua kwa 300. Vijiji vya Kilapula, Mkanyageni, Lusanga na Machemba wamekuwa wakitegemea bomba hilo ambalo kuanzia saa 9 usiku foleni huanza na kuwa kero kwa wananchi.
Wilaya ya Muheza kwa muda mrefu iko na kero ya maji ambapo hulazimika kuamka usiku wa saa 9 kuwahi foleni na wengine kuchukua mjini Tanga kwa usafiri wa magari.






No comments:

Post a Comment