Sunday, September 18, 2016

SOKO LA VITUNGUU SINGIDA



Wanawake vibarua wa kuchambua vitunguu maji soko kuu la Vitunguu la Misuna Singida kisha kuviweka katika magunia na kusafirishwa  kwenda Mikoni, Wanawake hao wamekuwa wakiendesha maisha yao kupitia kazi hiyo ambayo hulipwa ujira baada ya kazi.



 Wakulima wa vitunguu maji soko kuu la vitunguu la Misuna  Singida wakishindilia na kupeleka Mikoni, Gunia moja la vitunguu lililojaa huuzwa 90,000.


 Wakulima wa vitunguu maji soko kuu la Misuna Singida, wakichambua vitunguu baada ya kuvikausha kwa jua kisha kujaza katika magunia na kupeleka Mikoani, Gunia moja la vitunguu huuzwa 90,000.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment