Monday, September 19, 2016

SOKONI SINGIDA TUNAUZA KAMBARE NA SATO

 Wafanyabiashara wa kuuza samaki Sangara, Kambare na Sato soko kuu la Singida wakipanga kama walivyokutwa na Camera za Tangakumekuchablog, Kambare mmoja alikuwa akiuzwa 4000 na samaki aina ya sato alikuwa akiuzwa kipande kwa 3,500.





No comments:

Post a Comment