Wednesday, September 14, 2016

SIKUKUU IMENDA SAFI, ASANTENI WANANCHI



 Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga, Benedickti Wakulyamba, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake  Leo mambo mbalimbali ya ulinzi na usalama na kuwashukuru wananchi kusherehekea kwa amani vipindi vyote vya Sikukuu ya Idd El Hajj.





Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment