Saturday, September 17, 2016

DAMPO YAPIGA HODI KATIKA MAKAZI YA WATU MAKORORA TANGA


Takataka zikiwa zimezizingira nyumba mtaa wa Mtupie Makorora Tanga na kuzusha hofu ya kukumbwa na magonjwa ya miripuko na wadudu wachafu kuingia vyumbani ambapo wakazi wa eneo hilo wamekuwa wakilalamika mamlaka inayohusika haichukui hatua za kuziondoa.





No comments:

Post a Comment