Monday, September 12, 2016

MATUKIO YA IDD KUTOKA SWALA, UCHINJAJI, UNUNUAJI HADI BEACH YA RASKAZONE TANGA



Waumini wa Dini ya Kiislamu Tanga wakielekea uwanja wa Tangamano kuswali Swala ya Idd El Hajj leo.





 Waumini wa Dini ya Kiislamu Tanga wakiswali Swala ya Idd El Hajj uwanja wa Tangamano Leo.

 Waumini wa Dini ya Kiislamu Tanga wakinunua nyama soko kuu la Ngaminia Tanga kwa ajili ya Sikukuu ya Idd El Hajj leo.




  Wakazi wa Donge Tanga, Faisal Majid (kulia) na Salim Mbarouk (kushoto) wakichuna ngozi ya mbuzi kwa ajili ya Sikukuu ya Idd El Hajj leo.








 Wakazi wa Tanga na maeneo mbalimbali ya jiji la Tanga wakisherehekea Sikukuu ya Idd El Hajj katika beach ya Raskazone Tanga leo.

Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment