Friday, September 30, 2016

MAADHIMISHO SIKU YA BAHARI DUNIANI



 Waziri wa Viwanda na Biashara wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Amina Salim Ali, akikagua banda la maonyesho la Idara ya Marini na kupata maelezo kutoka kwa Ayoub Mdikang’andu wa kitengo cha Marini wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani yaliyofanyika Tangamano Tanga Leo.




 Waziri wa Viwanda na Biashara wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Amina Salim Ali, akikagua moja ya mabanda ya maonyesho kitengo cha Zimamoto na Usalama Mamlaka ya Bandari Tanga (TPA) na kupewa maelekezo na Othman Mkumbawakati wa kilele cha maadhimisho ya Bahari Duniani na kufanyika uwanja wa Tangamano Tanga  leo.


Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment