Wednesday, September 21, 2016

KERO YA MAJI HANDENI TANGA



Madereva wa bodaboda Handeni Tanga,Juma Ali na Rajab Shaban, wakisaidiana kupakiza madumu ya maji kutoka kijiji cha Kweliamba kilometa 25 hadi Handeni  mjini na kwenda  kuuza Handeni mjini. Dumu moja la  maji huuza 1,500.



 Mkazi wa Handeni , Manyehe Muya, akijaza maji kutoka katika bomba kijiji cha Kweliamba Handeni kilometa 25 kutoka  Handeni mjini na kuuza dumu moja 1,500.

 Wakazi wa kijiji cha Kweliamba Handeni wakichota maji na kuweka katika madumu ambayo huwauzia wateja wanaotoka Handeni mjini. Wilaya ya Handeni kwa muda mrefu iko na kero ya maji.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment