Wednesday, September 21, 2016

KAZI NI KAZI, WANAWAKE MUHEZA WAUNDA UMOJA WA KUOSHA PIKIPIKI NA MAGARI

 Wajasiriamali wanawake waliounda Umoja unaojulikana kama Limbwata Car and Motaclyle Wash (LCMW) wa eneo la Majengo Muheza Mkoani Tanga wakionsha pikipiki kama walivyokutwa na Camera za Tangakumekuchablog. Pikipiki moja huosha kwa 3,000 na gari huosha 5,000. Wanawake hao wamedai kuunda umoja huo na kuacha mambo ya kujikalia mitaani na kuepukana na vishawishi vya barabarani.






Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment