Sunday, September 18, 2016

BIASHARA YA MKAA MITAANI, SINGIDA



Wachuuzi wa mkaa kwa kutumia usafiri wa Punda wakipita mtaa wa Misuna Igoli Singida kutafuta wateja . Roba moja walikuwa wakiuza 15,000. Biashara ya mkaa Singida imekuwa ikifanywa na watu mbalimbali kwa kupitisha mitaani na kuwa msaada kwa watumiaji wa nishati hiyo badala ya kuufuata mashambani.






Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment