Sunday, September 25, 2016

KUTOKA SHAMBANI KILULU MUHEZA TANGA


Mkazi wa kijiji cha Kilulu Wilayani Muheza Mkoani Tanga  alietambulika kwa majina  Juma Amir, akitoka shamba kukata majani kwa ajili ya malisho ya ng’ombe kama alivyokutwa Leo na Camera ya tangakumekuchablog i akiwa na gari yake ya punda.





Kwa habari,mmatukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment