Saturday, September 17, 2016

CHEMBA BARABARA YA 11 NGAMIANI TANGA NI KERO


Mkazi wa Ngamiani Tanga ambaye hakujulikana jina lake mara moja akiangalia Chemba ya majitaka katikati ya  barabara ya 11 karibu na hospitali na makazi ya watu ikitiririsha uchafu na kuwa kero baada ya kutoa harufu mbaya na kuwa kero wakazi wa eneo hilo na  watumiaji wa njia hiyo.
Chemba hiyo imekuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo na wapita njia na kudai kuwa lipo kwa muda mrefu hivyo kutaka mamlaka inayohusika kulikarabati ili kuepusha magonjwa ya miripuko.
Mbali ya jitihada zinazofanywa na wahusika lakini bado maeneo mbalimbali machemba yamekuwa kero hadi baadhi ya barabara kushindwa kupitika.





No comments:

Post a Comment