Thursday, September 1, 2016

MIFUGO BARABARANI NA KUWA KERO

 Punda wakiwa barabarani barabara ya kuu ya Markert Street mjini Tanga mitaa ya maofisini ya Serikali na Bank. Mifugo hiyo imekuwa kero na na mamlaka zinazohusika na mazingira kuwa kimywa na kutochukua hatua za kisheria.
Inadaiwa kuwa kutofuatwa kwa sheria ndogondogo imekuwa sababu za wafugaji wa mifugo kuachilia na kuzagaa hadi barabarani na kuwa kero.

Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment