Monday, October 17, 2016

ANGALIENI SAMAKI WA MAAJABU HUYU



 Mvuvi wa samaki baharini Tanga, Juma Salim Daffa, akimuonyesha  Mwakilishi wa Magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti Mkoa wa Tanga Cecilia Kwegyir samaki wa ajabu aliekuwa na maandishi ya mwaka 2030 katika ofisi za usambajii wa Magazeti hayo . Kulia ni Betrice Bendera mkazi wa Nguvumali Tanga.






Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment