Saturday, October 29, 2016

TUNAREJEA KUTOKA KUVUA , NUNAREJEA SALAMA


Wavuvi wakiingia katika bandari ya Sahare Tanga wakitoka kutoka kuvua bahari ya Hindi mapema leo asubuhi, Wavuvi hao walikuwa wakivua usiku na kuendesha uvuvi kwa kutumia taa aina ya karabai pamoja na nyavu.







No comments:

Post a Comment