Monday, October 24, 2016

KAMA ULIKOSA MATOKEO NA KUONA MGAMBO NA MVUVUMA FC MKWAKWANI TANGA, NIMEKUSOGEZEA



Wachezaji wa timu ya Mvuvuma FC ya Kigoma wakilishambulia lango la Mgambo JKT wakati wa mchezo ligi daraja la kwanza uwanja wa Mkwakwani mchezo uliofanyika juzi, Mvuvuma ilishinda kwa mabo 1, 0.


 Kiungo wa Mvuvuma, FC, John Fall, akijaribu kumtoka beki wa Mgambo JKT, Baraka Petro, wakati wa mchezo ligi daraja la kwanza mchezo uliochezwa uwanja wa Mkwakwani juzi, Mvuvuma ilishinda, 1, 0.
Wacheza wa Mgambo JKT, wakigombea mpira na wachezaji wa Mvuvuma FC, wakati wa mchezo ligi daraja la kwanza uwanja wa Mkwakwani juzi, Mvuvuma ilitoka kifua mbele kwa kuibuka na ushindi wa bao 1, 0.

No comments:

Post a Comment