Saturday, October 15, 2016

CHEMBA ZA MAJI TAKA TANGA MUAROBAINI WAKE HAUJAPATIKANA



Wakazi wa barabara ya 13 Ngamiani Tanga wakiangalia chemba ya majitaka inayotiririsha maji machafu barabarani na  kutoa harufu mbaya na kuhatarisha afya za kazi hao hilo.
Mbali ya jitihada za mamlaka husika kufanya kila liwezekanalo ili kuokoa afya za wananchi katika maeneo ambayo chemba zinatiririsha maji machafu lakini bado hivyo wananchi kutakiwa kuwajibika kuhakikisha maeneo yao yanakuwa katika usafi na kuondosha kitisho cha magonjwa ya miripuko.





Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment