Wednesday, October 19, 2016

UJENZI WA JENGO LA CHUMBA CHA SHULE WASIMAMA



 Wakazi wa Machemba kata ya Ngomeni Wilayani Muheza Mkoani Tanga wakiangalia msingi wa jengo la shule ya Msingi Machemba ambao umesimama, wakazi wa eneo hilo walikubaliana kila kaya kutoa matofali matano ili kujenga vyumba viwili na kuondosha uhaba wa madarasa unaoikabili shule hiyo.
Hata hivyo baadhi ya wakazi wa eneo hilo wamedai kuwa hadi muda huo hakuna utekelezaji wowote hivyo kurejesha nyuma kasi ya maendeleo ya elimu ndani ya kata hiyo.





No comments:

Post a Comment