Tuesday, October 25, 2016

MBAO HARAMU ZAKAMATWA PORINI, MUHEZA TANGA



 Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Mwanasha Tumbo na kamati ya ulinzi na Usalama ya Wilaya, wakiangalia mbao zilizovunwa katika msitu wa Kalalani Amani Wilayani humo na watu wasiojulikana na kuzificha porini juzi.






No comments:

Post a Comment