Sunday, October 16, 2016

ZISIKUPITE PICHA ZA MCHEZO WA MGAMBO JKT NA POLISI MARA




 Wachezaji wa Polisi Mara wakiomba dua kabla ya kipindi cha pili kuanza wakati wa mchezo  wao na Mgambo JKT wakati wa ligi daraja kwanza uwanja wa Mkwakwani  juzi na timu hizo kufungana goli 1,  1.


  Mchezaji wa Mgambo JKT, Ali Mnazi, akiruka juu kugombea mpira na mchezaji wa Polisi Mara, Rajab Athumani wakati wa mchezo ligi daraja la kwanza uwanja wa Mkwakwani Tanga juzi, timu hilo zilitoka suluhu ya kufungana goli 1, 1.
  Mchezaji wa Mgambo JKT, Adam Omari, akiwatoka wachezaji wa Polisi Mara wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza uwanja wa Mkwakwani juzi, tiku hizo zilitoka kwa kufungana 1,  1.
Wachezaji wa Polisi Mara wakimkaba mchezaji wa Mgambo JKT, Omari Kunambi wakati wa mchezo ligi daraja kwanza uwanja wa Mkwakwani juzi na timu hizo kufungana bao 1, 1.

No comments:

Post a Comment