Thursday, October 13, 2016

TCRA YATOA MUONGOZO KWA WAFANYABIASHARA WA VIFAA ELEKTRONIC



Katibu Tawala Mkoa wa Tanga, Mhandisi Zena Said, akifungua kongamano la wasambazaji wa vifaa vya mawasiliano na kielektoniki wa mjini Tanga  lililoitishwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kulia ni Meneja wa kanda ya kaskazini wa mamlaka TCRA, Annat Matindi.
Wafanyabiashara hao ambao kwa sasa wanatakiwa kukata leseni kupitia TCRA



 Katibu Tawala wa Tanga, Zena Said, akiwaongoza wafanyabiasha na wasambazaji wa vifaa vya elektroniki wa mjini Tanga wakati wa kongamano la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) juu ya utaratibu wa ukataji leseni  za biashara zao.
 Wafanyabiashara na wasambazaji wa vifaa vya mawasiliano na elektoroniki wa mjini Tanga wakisilikiza maelekezo ya utaratibu mpya wa uendesha biashara zao kwa kukata leseni Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kongamano lililofanyika ukumbi wa YDCP
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment