Wednesday, October 19, 2016

MACHEMBA YA MAJI MACHAFU KERO TANGA



Chemba iliyoko katikati ya barabara ya Chumbageni njia ya Horohoro ikifurika maji machafu na kutoa harufu mbaya na kuwa kero kwa watumiaji wa njia hiyo na kuhatarisha afya za wakazi wa eneo hilo.




 Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment