Friday, October 28, 2016

KISIMA CHA MAAJABU CHINI YA BAHARI YA TANGA




 Wavuvi soko la samaki la Deep Sea Tanga, wakikinga maji na kuosha samaki katika kisima cha Chechem kilichozingirwa na uchafu  kilichopo ufukweni mwa bahari kilichojengwa na Wakoloni wa Kijerumani kabla ya Uhuru. Kisima hicho kinatoa maji baridi mbali ya kuwa kiko baharini na kutumiwa na mama lishe na wakazi wa mjini Tanga vipindi vya shida ya maji.
Kisima hicho cha ajabu kimekuwa msaada kwa wakazi wa Tanga na wavuvi katika bandari hiyo na kutajwa kuwa ni cha maajabu ambacho historia imesahaulika.



Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment