Sunday, October 23, 2016

PORI KWA PORI , USAKAJI KUNI PENGWE TANGA



Wakazi wa Kisimatu kata ya Pongwe Tanga wakirejea kutoka porini kusaka kuni kwa kutumia usafiri wa Punda wakazi wengi wa Pongwe hutumia gari ya punda kwa kubebea mizigo na mazao kupeleka sokoni. ikiwa na pamoja na shughuli za kijamii ikiwemo kuchukua mazao na usakaji wa maji ambao kata hiyo ni kero.








No comments:

Post a Comment