Wednesday, October 26, 2016

MACHUNGWA YAZAGAA SOKONI MGANDINI TANGA



Wafanyabiashara wa maembe soko la Mgandini Tanga, Emmanuel Jonas na Mwinshehe Suleiman, akiyatandaza maembe yao kusubiri wateja, wafanyabiashara hao wamelalamika kukosa soko na kulazimika kuuza kwa hasara jkuepuka kuwaozea mikononi.







No comments:

Post a Comment