Monday, October 24, 2016

MSITU WA LUNGUZA WAKABIDHI MADAWATI 200 SHULE ZA MUHEZA, TANGA



Meneja wa Shamba  la msitu wa Lunguza Wilayani Muhuza MkoaniTanga, Abdalla Mchomvu , akimuonyesha Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Mwanasha Tumbo moja ya madawati 200 yaliyotolewa kwa shule za msingi Muheza  kupunguza uhaba wa madawati  makabidhiano yaliyofanyika Lunguza jana.




 Meneja, Shamba  la Msitu wa Lunguza Wilayani Muheza Mkoani Tanga, Abdlla Mchomvu, akimkabidhi madawati 200 Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Mwanasha Tumbo kusaidia shule za msingi kupunguza uhaba wa madawati na kero ya wanafunzi  kukaa chini.

No comments:

Post a Comment