Saturday, October 15, 2016

MSHIKAMANO FC KUMENYANA NA AFRICAN SPORTS LEO




 Timu ya soka ya Mshikamano ya jijini Dar es Salaam wakifanya mazoezi ya kupasha misuli ndani ya uwanja wa Mkwakwani ikiwa ni masaa machache yajayo itamenyana na African Sports ya jijini Tanga ikiwa ni muendelezo wa ligi daraja kwanza.
Hapo jana wenyeji Mgambo JKT walitoka suluhu na Polisi Mra baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao moja kwa moja.

No comments:

Post a Comment