Monday, October 17, 2016

MPAMBANO WA COASTAL UNION NA KMC ILIYOISHA KWA VURUGU KWAKWANI JANA. PICHAZ



 Kiungo wa KMC, Samwel Matayo, akimtoka beki wa Coastal Union Mshindo, wakati wa mchezo ligi daraja la kwanza uwanja wa Mkwakwani Tanga jana, KMC iliibuka na ushindi wa 3 , 2.


 Wachezaji wa KMC wakigombea mpira na wachezaji wa Coastal Union wakati wa mchezo ligi daraja la kwanza uwanja wa Mkwakwani jana, KMC ilibuka na ushindi wa mabao 3, 2.
 Washabiki wa timu ya Coastal Union ya Tanga, wakipigwa na butwaa baada ya timu yao kufungwa bao la  tatu kwa mkwaju wa penati, KMC iliika na ushindi wa mabao 3, 1.

Wachezaji wa Coastal Union ya Tanga wakimlalamikia refarii wa mchezo, Thomas Mkombozi kutoka Kilimanjaro kumlalamikia penati aliyotoa kwa timu ya KMC na kuiba ushindi wa magoli 3, 1, mchezo uliochezwa uwanja wa Mkwakwani jana.

No comments:

Post a Comment